MAMA SAMIA AUNGURUMA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA PAJE UNGUJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 19, 2020

MAMA SAMIA AUNGURUMA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA PAJE UNGUJA

 

 

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Paje  katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja 

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Paje wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi  katika Uwanja wa Shule ya sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja

Msanii wa Bongo Flavour Zuhura Othman Zuchu akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chanma cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 19,2020  katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad