KATIBU MKUU UJENZI APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II BAADA YA KUFANYIWA UKARABATI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 22, 2020

KATIBU MKUU UJENZI APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II BAADA YA KUFANYIWA UKARABATI

 

 

Katibu  Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga  katikati akikata utepe kuashiria kukipokea rasmi kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa  ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko cha MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati  kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Katibu  Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga  kulia `akifurahia jambo na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah mara baada ya kukipokea rasmi  kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa  ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko cha MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati  kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Katibu  Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga  kushoto na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle wakishuka kutoka kwenye kivuko cha MV.PANGANI II mara baada ya kukipokea rasmi Kivuko hicho kilichofanyiwa  ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko cha MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati  kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Kivuko cha MV.PANGANI II kikiwa kimepaki katika Mto Pangani Tanga, kivuko hicho kimepokelewa rasmi leo na Katibu  Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga. Kivuko cha hicho kimefanyiwa ukarabati  kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Kivuko cha MV.PANGANI II kikiwa kimepakia magari na abiria kutokea Pangani kuelekea Bweni. Kivuko hicho  kimepokelewa rasmi leo na Katibu  Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga  baads ya kufanyiiwaa ukarabati mkubwa  kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Katibu  Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga katikati, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela kulia na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah wakifurahia jambo mara baada ya kukipokea rasmi  kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa  ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko hicho kimefanyiwa ukarabati  kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

 

PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO (TEMESA) TANGA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad