Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mpuguzi katika Jimbo la
Dodoma mjini wakati akiwa njiani kuelekea katika mikutano ya Kampeni za
CCM mkoani wa Iringa leo tarehe 28 Septemba 2020
Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kusimama katika eneo hilo leo tarehe 28 Septemba 2020 wakati
akielekea mkoani Iringa.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manzase Mvumi mkoani Dodoma wakati
akielekea mkoani Iringa leo tarehe 28 Septemba 2020
No comments:
Post a Comment