Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM
na Wananchi wa Wilaya ya Babati Vijijini mkutano wa kampeni za Chama
cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Galapo Babati Vijijini Mkoani
Manyara leo Septemba 28, 2020.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kongwa Dodoma
wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia
mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Galapo
Wilaya Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 28,2020. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama
cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Babati Vijijini alipowasili
katika Uwanja wa Galapo Babati vijijini Mkoani Manyara leo Septemba
28,2020 kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha
Mapinduzi CCM leo Septemba 28,2020

Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
CCM na Wananchi wa kijiji cha Irkiushiobr na kijiji cha Simanjiro
alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Vijijini Mkoani Manyara kwa
ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo
Septemba 28,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment