HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 6, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NYAMIKOMA-BUSEGA MKOANI SIMIYU

 


Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamikoma Busega mkoani Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani Mwanza.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyashimo Busega mkoani Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani Mwanza.
Sehemu ya Wananchi wa Nyashimo Busega wakifatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama wakati akielekea Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad