Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia
wananchi wa Meatu, mkoani Simiyu, wakati akiwasili katika mkutano wa
kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Stendi, Kata ya Mwanhuzi

Wananchi wa Kata ya Mwanhuzi-Meatu, mkoani Simiyu, wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Stendi, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia
wananchi wa Meatu, mkoani Simiyu, wakati akiwasili katika mkutano wa
kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Stendi, Kata ya Mwanhuzi,
No comments:
Post a Comment