HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 7, 2020

MAKAMU WA RAIS, SAMIA AKUTANA NA MENEJMENTI YA OFISI YAKE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika leo Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad