Ligi ya Mabingwa Imerejea - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 7, 2020

Ligi ya Mabingwa Imerejea

MICHUANO mikubwa ya soka Ulaya, inarejea wikiendi hii baada ya mapumziko ya miezi mitano na Meridianbet kama mtayarishaji amefanya la ziada kurejesha muda uliopotea.

Ligi ya Mabingwa imerejea tena na soka halisi– huku kukiwa na mechi za marudiano katika hatua ya robo fainali, pale Barcelona - Napoli na Bayern Munich - Chelsea.

Usiache zikupite, weka ubashiri kwenye mechi yoyote ambayo Meridian imekuandalia kwaajili yako! Kukiwa na ofa nzuri za mechi, odds kubwa na maalum – Meridianbet anakupatia vyote hivi!

Kama bado hujafungua akaunti nasi, pakua app ya Meridianbet kwenye simu, jisajili na uweke ubashiri wako wa kwanza. Kumbuka ukiwa na Meridianbet tiketi ya kwanza ni juu yetu. Na kama utaweka kiasi cha kwanzia Tsh 5000 na zaidi tutakupatia 5% ya bonasi

Baada ya miezi mitano ya mapumziko kwasababu ya Virusi vya Corona, leo tutashuhudia mechi kati ya Bayern - Chelsea. Katika mechi ya kwanza klabu hizi mbili zilipokutana Februari 25, Bayern walifanikiwa kuichapa Chelsea akiwa Stamford Bridge kwa mabao 3-0. Gnabri alitikisa nyavu za “Blues” mara mbili, mwanzoni mwa kipindi cha pili kwa tofauti ya dakika tatu. Lewandowski, kama mchezaji bora wa Bundesliga msimu huu, alikamilisha ushindi kwa kufunga goli la tatu dakika ya 76 kwa klabu ya Ujerumani.

Kwasababu hizo, pamoja na faida ya uwanja wa nyumbani, Bayern munich wananafasi nzuri wakiwa wanaelekea katika mchezo wa marudiano dhidi ya Chelsea. Lakini maswali yanaibuka – Chelsea wanaweza kujipanga kupindua matokeo hayo?

Bayern bila shaka yupo katika nafasi nzuri,na nafasi ya kushinda ni asilimia 69. Upande mwingine, nafasi ya ushindi kwa Chelsea ni asilimia 12, wakati nafasi ya kutoka sare mwisho wa mchezo ni asilimia 19. Kushinda magoli 2 au zaidi, ina nafasi ya asilimia 83! Kushinda magoli 3 au zaidi ina nafsi ya asilimia 63 – Unaweza kuona Odds katika Link hii.
Mechi nyingine ya kuvutia itakua baina ya Barcelona – Napoli. Labda kwa sababu mechi ya mzunguko wa kwanza iliisha bila kupata mshindi (1:1), Kwahiyo hamu ya kupata matokeo ya mwisho yatafika ukomo wake pale “Camp Nou” usiku wa leo.

Kwasababu ya timu ya nyumbani kuwa na faida ya goli la ugenini, Barcelona wanaingia katika katika mechi hii kama washindi, wakiwa wanaweza kupata suluhu ya bila magoli. Ingawa Napoli wanaweza kuandika historia ya soka katika mechi hii? Je Messi na timu yake wataendeleza msululu wa kutofungwa katika mechi 35 za Ligi ya Mabingwa katika Uwanja wa nyumbani? Je gattuso na kikosi chake wataweza, ukiachana na matatizo katika safu ya ulinzi na kutokuwepo kwa Costas Manolas,Lorenzo Insigne na Nikola Maksimovic, kutawakafanya barca waumize vichwa?

Pamoja na yote, Ligi ya mabingwa imekaribia – hapa unaweza kuangalia ofa za odds, na ni juu yako kuchagua kwa umakini, furahia mpira na mwisho – tengeneza pesa!

1 comment:

Post Bottom Ad