WANANCHI WAJITOKEZA BANDA LA RITA KUPATA VYETI VYA KUZALIWA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 6 July 2020

WANANCHI WAJITOKEZA BANDA LA RITA KUPATA VYETI VYA KUZALIWA

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mstari mirefu wakipata huduma ya vyeti vya kuzaliwa katika banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) leo katika maonesho ya 44 ya Kimataifa Sabasaba wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko RITA, Edwin Mbekenga akiwaelekeza wananchi namna ya kujaza fomu za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 44 ya Kimataifa Sabasaba wilaya Temeke jijini Dar es Salaam.


Watumshi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiwaelekeza wananchi namna ya kujaza fomu za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 44 ya Kimataifa Sabasaba wila ya Temeke jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad