RAIS DKT.MAGUFULI WAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 6 July 2020

RAIS DKT.MAGUFULI WAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia Mkuu wa Morogoro Mhe. Loatha Ole  Sanare
akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail
Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini
(DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Bi. Mriam Perla Mbaga kuwa Katibu Tawala wa mkloa wa
Simiyu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha wa Polisi Thobias Emir Andengenye kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti
akimuapisha Kanali Mathias Kahabi  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia Mkuu wa Morogoro Mhe. Loatha Ole  Sanare
akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail
Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Pwani akimuapisha Mhandisi Martine Ntemo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungmza na viongozi aliowateua leo.
 PICHA NA IKULU 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad