TEMBELEA BANDA YA BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA SABASABA KWA HUDUMA BORA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 6 July 2020

TEMBELEA BANDA YA BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA SABASABA KWA HUDUMA BORA

 Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB inayotoa huduma katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2020) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Nyerere, jijini Dar es salaam wakiwa katika picha ya pamoja.
Afisa Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Mary Samuel akimueleza jambo mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Benki ya CRDB katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2020) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Nyerere, juu ya huduma ya "Popote Inatiki".
Afisa wa Benki ya CRDB, Gabriel Khatib akimsikiliza mmoja wa wateja wa Benki hiyo aliyetembelea kwenye banda lao Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2020) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Nyerere, jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad