Utamu wa Dabi ya London Unakujia Hapa! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 10, 2020

Utamu wa Dabi ya London Unakujia Hapa!

DABI ya London Kaskazini siku zote imekuwa ikiteka hisia za watu walio nje ya mipaka ya mji mkuu wa Uingereza. Mechi kati ya Tottenham na Arsenal ni kubwa kuliko mechi ya klabu mbili za mji mmoja. Kwenye mtanange huu wa miamba miwili yenye historia ndefu na utamaduni.

Jose Mourinho, atafurahia kuwa kocha wa kandanda na kocha wa Tottenham, ana kazi kubwa mbele yake. Mourinho ataweza kuifunga Arsenal ambao wamekuwa na mwenendo mzuri chini ya Mikel Arteta, atakuwa anaangalia namna ya kuiangamiza Spurs

Moja ya kitu ambacho nina uhakika ni kuwa itakuwa mechi ngumu ambayo anaye bashiri ameiweka kama dabi maarufu na kali zaidi Ulaya!

Mechi ya kuvutia zaidi kati ya timu hizo mbili ni mwaka 1971 (msimu 1970/1971) na pia 2004 (msimu 2003/2004). Wakati huo Arsenal wameshangilia mara zote mbili pale White Hart Lane (japo matokeo yalikuwa 2-2 mnamo Aprili 25, 2004), lakini walikuwa Mabingwa wa Uingereza kwa wakati huo. 

Hatuwezi kusahau mechi ya Arsenal dhidi ya Tottenham 1983, ambapo Arsenal waliwashushia mvua ya magoli kwa ushindi wa 5-0. Japo mechi ambayo itabaki kwenye kumbukumbu ya mashabiki wa soka ni ya mwaka 2004, jumla ya magoli 9 yalifungwa, Arsenal iliibuka na shindi wa magoli 5-4.

Mechi ya mwisho kwa msimu wa 2019/2020, Mechi ya kwanza Tottenham na Arsenal walicheza mwezi wa tisa mwaka jana, na mchezo huo uliisha kwa suluhu ya goli 2-2. Tottenham na Arsenal wamecheza jumla ya mechi 173. 

Arsenal ameshinda mara 70, Tottenham mara 54 na wametoka suluhu mara 49. Kwa mujibu wa wataalamu wa ubashiri, nafasi ya goli moja kupatikana kabla ya mapumziko ni 77%. Nafasi ya timu zote kupata goli katika mchezo huo ni 59%, wakati nafasi ya goli la mwisho kupatikana kabla ya dakika ya 73 ya mchezo ni 55%. Kama unataka kubashiri kwenye dabi hii ya London kaskazini, basi sehemu sahihi na salama kwako ni meridianbet.

Meridian ni rafiki na mshirika wako katika kuusaka ushindi. Pia kuna ofa maalumu kwenye ubashiri wa soka - weka kiasi cha 5000 Tsh au zaidi na MeridianBet kiasi ulichoweka katika akaunti yako ya Bonasi, Lakini si hivyo tu.!Kama bado haujajisajili na meridianbet.co.tz, muda ni sasa wa kujisajili kwasababu zawadi amabayo haijawahi kutokea inakusubiri - Jisajili na uweke kiasi cha kati ya 1000-12500 Tsh na kama utapoteza tiketi yako ya kwanza, Meridiabet watakurudishia kiasi ulicholipia tiketi yako kama bonasi kwenye akaunti yako.

16 comments:

Post Bottom Ad