MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NEC KATIKA UKUMBI WA WHITE HOUSE JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 10, 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NEC KATIKA UKUMBI WA WHITE HOUSE JIJINI DODOMA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC mara baada ya kuanza kwa Kikao ambacho kilikuwa na ajenda mbalimbali ikiwemo ya Uchaguzi wa Mgombea wa Urais kwa upande wa Zanzibari ambapo Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi alichaguliwa kuwa kuwa Mgombe Urais kwa Tiketi ya CCM kwa upande wa Zanzibar leo tarehe 10 Julai 2020 katika Ukumbi wa White House jijini Dodoma
 
 
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo tarehe 10 Julai 2020.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada ya kuanza kikao cha NEC katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi katika Mkutano huo wa NEC uliofanyika katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad