MKEMIA HERMAN KWEKA AMPA UPINZANI MAKONDA UBUNGE KIGAMBONI, MAGESE ACHUKUA FOMU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 16, 2020

MKEMIA HERMAN KWEKA AMPA UPINZANI MAKONDA UBUNGE KIGAMBONI, MAGESE ACHUKUA FOMU


Na Al-Hassan Muhidin
 Mkemia Herman Kweka amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Kigamboni akiwa ni miongoni mwa makada wachache wanaotajwa  kuleta ushindani  katika kinyang'anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama hicho.
Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu (TBF) Phares Magesa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge la Jimbo la Mbagala.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad