



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja
vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma mara baada ya hafla fupi ya kuwaapisha
Viongozi mbalimbali aliowateua.
Viongozi
mbalimbali walioteuliwa mstari wa mbele wakiwa wanasikiliza hotuba ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani
Dodoma.















No comments:
Post a Comment