KATIBU WA BUNGE KAGAIGAI APOKEA UGENI KUTOKA MRADI WA UNDP - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 16, 2020

KATIBU WA BUNGE KAGAIGAI APOKEA UGENI KUTOKA MRADI WA UNDPKatibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) walioongozwa na Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi (watatu kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimkaribisha Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi ofisini kwake Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimsikiliza Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi (wapili kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma. Wengine ni wageni kutoka UNDP na Maafisa wa ofisi ya Bunge
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) akifurahia jambo na Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo ofisini kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad