WAKILI MLAKI AKOLEZA JOTO LA UCHAGUZI JIMBO LA VUNJO ,ACHUKUA FOMU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 16, 2020

WAKILI MLAKI AKOLEZA JOTO LA UCHAGUZI JIMBO LA VUNJO ,ACHUKUA FOMU


Wakili na Kada Mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Emanuel Mlaki akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo  ndani ya CCCM,naye mkabidhi ni katibu wa CCM wilaya ya Moshi ,Miriam Kaaya .
Wakili na Kada Mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Emanuel Mlaki akiwa ameongozana na mama yake mzazi wakati wa zoezi la uchukuaji wa fomu hizo ,
Wakili na Kada Mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Emanuel Mlaki akionesha fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia ndani ya Chama cha Mapinduzi.

Na Dixo Busagaga,Moshi 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad