KWANZIA leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya mpira wa miguu ikicheza. Sote tunafahamu orodha ya ubashiri haipendezi kama Serie A haipo.
Kurejea kwake ni kama mpira halisi umemkuta anae bashiri, na ofa maalum kutoka Meridian huwezi kuikataa kwani kuna ofa ya machaguo Zaidi ya 5000 kwa siku tatu tu!
Hali ilivyo sio ya kutabirika - Lazio wapo makini kwenye mashindano wakiwa alama moja nyuma ya Juventus, ambao tayari wamepoteza Kombe la nyumbani dhidi ya wapinzani wao Napoli. Atalanta na Roma wanapambania nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa, wakati Milan wanaangalia uwezekano wakupata nafasi itakayopatikana kwenye Ligi ya Europa kutoka kwa Napoli.
Kwa sasa, Inter ndio timu iliyopo kwenye nafasi nzuri, akishikia nafasi ya tatu wakati mapigano yakiendelea juu na chini. Taji watalikosa, lakini watajihakikishia kushirikia Ligi ya Mabingwa UEFA msimu ujao.
Mechi zilizosalia kukamilisa mzunguko wa 25 zitaanza leo na kesho.
Unaweza kuona tarehe za mechi hapo chini na bonyeza kila moja kujionea odds na upate chaguo lako
Jumamosi:
19.30 Turin - Parma
21.45 Verona – Cagliari
Jumapili:
19.30 Atalanta - Sassuolo
21.45 Inter - Sampdoria
Kwa kurejea kwa Serie A, hatimaye tunaweza kusema ligi bora zimerejea, na kwa hii unapata ofa nyingi nzuri zaidi na nafasi kubwa ya ushindi. Unaweza kutumia nafasi hii kufurahia ofa mbalimbali za Meridianbet kwa wateja wapya na wateja wa zamani. Ukifungua akaunti ya Meridianbet unapata mizunguko 50 ya bure, kwa wateja wa wasio wapya unapata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuweka pesa kuanzia 5000 Tsh. Meridianbet inaweza kukulipia tiketi yako ya kwanza utakayopoteza kama utaweka tiketi yako ya kwanza ya kati ya 10000-12500.
Hatari ndani ya Verona 2:0
ReplyDeleteJamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa
ReplyDeleteJamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa
ReplyDeleteJamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa
ReplyDeleteJamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa
ReplyDeleteMambo yamenoga htr full kubeti tu saiz
ReplyDeleteJavi langu nawema kwa inter naweka pesa ya maana nichukue pesa nyingi nikafanye yangu
ReplyDeleteSerie A ubingwa haueleweki kabisa nan atachukua
ReplyDeletejamvi la meridianbet linazid kuwaka
ReplyDeleteBora ligue imerudi..kubet kama kawaidaaa
ReplyDeleteSafi kabisa
ReplyDeleteDuuu sijui nakosaje pesa meridianbettz mechi Kama zote
ReplyDeleteMambo mazuri sana
ReplyDeleteImekaa poa
ReplyDeletena leo zamu yangu
ReplyDeleteThanks for the info
ReplyDeleteAxante kwa habar za moto moto
ReplyDeleteJuve ubingwa wao
ReplyDeleteJuve bingwa
ReplyDeleteWaletwe tuko tayari kutupia
ReplyDeleteSafii kwa maarifa na mechi kama zote wacha tutupie mkwanja
ReplyDeleteSiweziii kuikosa mimii
ReplyDeleteSiweziii kuikosa mimii
ReplyDeleteLeo ndio Leo siwezi kulikosa
ReplyDeletelazio yupo makin sana mana akipoteza mech moja ubingwa ndio bas tena
ReplyDeleteSiwezi kukosa hii
ReplyDeleteI cannot mic this
ReplyDeleteThanks for nice information.
ReplyDeleteHakika siwezi ikosa
ReplyDeleteHii cwzi kuikosa
ReplyDeleteubingwa haueleweki kabisa nan atachukua
ReplyDeleteHabari motomoto hizi#meridianbet
ReplyDeleteHabari mjema
ReplyDeleteMambo moto
ReplyDeleteSafi
ReplyDelete