HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 20, 2020

NMB YAKABIDHI VIFAA NA VITENDEA KAZI KWA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA


Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizotolewa na Benki ya NMB Dodoma, aliyekabidhi vifaa hivyo ni Meneja wa Kanda wa benki hiyo Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa  Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002 Dodoma.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja akitoa neno la shukrani kwa Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi mara baada ya kupokea vifaa kwa ajili ya Ofisi.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002.
Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad