Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 19 June 2020

Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena

KWANZIA leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya mpira wa miguu ikicheza. Sote tunafahamu orodha ya ubashiri haipendezi kama Serie A haipo.

Kurejea kwake ni kama mpira halisi umemkuta anae bashiri, na ofa maalum kutoka Meridian huwezi kuikataa kwani kuna ofa ya machaguo Zaidi ya 5000 kwa siku tatu tu!

Hali ilivyo sio ya kutabirika - Lazio wapo makini kwenye mashindano wakiwa alama moja nyuma ya Juventus, ambao tayari wamepoteza Kombe la nyumbani dhidi ya wapinzani wao Napoli. Atalanta na Roma wanapambania nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa, wakati Milan wanaangalia uwezekano wakupata nafasi itakayopatikana  kwenye Ligi ya Europa kutoka kwa Napoli.

Kwa sasa, Inter ndio timu iliyopo kwenye nafasi nzuri, akishikia nafasi ya tatu wakati mapigano yakiendelea juu na chini. Taji watalikosa, lakini watajihakikishia kushirikia Ligi ya Mabingwa UEFA msimu ujao. 

Mechi zilizosalia kukamilisa mzunguko wa 25 zitaanza leo na kesho.
Unaweza kuona tarehe za mechi hapo chini na bonyeza kila moja kujionea odds na upate chaguo lako

Jumamosi:
19.30 Turin - Parma
21.45 Verona – Cagliari

Jumapili:
19.30 Atalanta - Sassuolo
21.45 Inter - Sampdoria

Kwa kurejea kwa Serie A, hatimaye tunaweza kusema ligi bora zimerejea, na kwa hii unapata ofa nyingi nzuri zaidi na nafasi kubwa ya ushindi. Unaweza kutumia nafasi hii kufurahia ofa mbalimbali za Meridianbet kwa wateja wapya na wateja wa zamani. Ukifungua akaunti ya Meridianbet unapata mizunguko 50 ya bure, kwa wateja wa wasio wapya unapata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuweka pesa kuanzia 5000 Tsh. Meridianbet inaweza kukulipia tiketi yako ya kwanza utakayopoteza kama utaweka tiketi yako ya kwanza ya kati ya 10000-12500.

35 comments:

 1. Jamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa

  ReplyDelete
 2. Jamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa

  ReplyDelete
 3. Jamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa

  ReplyDelete
 4. Jamvi langu kesho ushindi kwa inter na antalanta; naweka pesa nachukua pesa

  ReplyDelete
 5. Mambo yamenoga htr full kubeti tu saiz

  ReplyDelete
 6. Javi langu nawema kwa inter naweka pesa ya maana nichukue pesa nyingi nikafanye yangu

  ReplyDelete
 7. Serie A ubingwa haueleweki kabisa nan atachukua

  ReplyDelete
 8. jamvi la meridianbet linazid kuwaka

  ReplyDelete
 9. Bora ligue imerudi..kubet kama kawaidaaa

  ReplyDelete
 10. Duuu sijui nakosaje pesa meridianbettz mechi Kama zote

  ReplyDelete
 11. Thanks for the info

  ReplyDelete
 12. Safii kwa maarifa na mechi kama zote wacha tutupie mkwanja

  ReplyDelete
 13. lazio yupo makin sana mana akipoteza mech moja ubingwa ndio bas tena

  ReplyDelete
 14. ubingwa haueleweki kabisa nan atachukua

  ReplyDelete
 15. Habari motomoto hizi#meridianbet

  ReplyDelete

Post Bottom Ad