Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano asajili laini - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 17 September 2019

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano asajili laini

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akijisali laini yake kwa mtandao wa simu ya mkononi kwa njia ya alama za vidole katika banda la Airtel  alipotembelea banda la kampuni hiyo jana wakati wa mkutano wa Mawaziri kutoka Nchi wanachama wa Jumuia za Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaohusu  Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya  Hewa unaofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad