SPIKA NDUGAI AKAUTANA NA WAJUMBE WA JUKWAA LA MAENDELEO ENDELEVU OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 11 September 2019

SPIKA NDUGAI AKAUTANA NA WAJUMBE WA JUKWAA LA MAENDELEO ENDELEVU OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wa Maendeleo Endelevu Mhe. Augustine Vuma na anayefuatia ni Afisa Mwandamizi wa Policy Forum Bi. Prisca Kowa na wengine ni Maafisa wa Jukwaa hilo.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wa Maendeleo Endelevu Mhe. Augustine Vuma (wa kanza kulia) akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) walipomtembelea pamoja na wajumbe Jukwa hilo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Mjumbe wa  Jukwaa la Maendeleo Endelevu Bi. Getrude Mugizi akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) wakati yeye na Wajumbe wenzake walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Bw. Richard Angelo, Bi. Getrude Mugizi, Bi. Vivian Ngowi, Bw. Augustine Vuma, Bi. Prisca Kowa na Bi. Iman Khatib.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  akiagana na na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad