RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA CHINA IKULU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 11 September 2019

RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA CHINA IKULU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu wa Kamati Kuu  ya Chama cha Kikomunisti cha China na “Vice General Manager of China National Research Institute of Food Fermentation Industries Co.Ltd Bw. Dong Weihong, akiwa na ujumbe wake,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar.Mhe. Xie Xiuowu, akiwa na Katibu wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti na” Vice General Manager of China National Research Institute of Food Fermentation Industries Co.Ltd “ Bw. Dong Weihong, walipofika Ikulu kwa mazungumzo leo, 10-9-2019.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad