Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki akiongoza ibada ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019 iliyoanza saa tatu usiku na kufika tamati saa sita usiku.
Kwaya ya vijana ya Kanisa la Baptist Kinondon B wakiimba nyimbo za kusifu na shangwe wakati wa mkesha wa mwaka mpya Dar es Salaam.
Ibadaa ikiendelea
Waumini wa kanisa la Baptist Kinondoni B wakiendeleza sherehe za kuupokea mwaka 2019 na kuuaga mwaka 2018 leo usiku kwenye ibada ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019,iliyoanza saa 3 usiku na kufika tamani saa 6 usiku.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
No comments:
Post a Comment