
Msururu huu ukiwa ni wenye imani na umini katika imani yao mtaa wa maendeleo.
Nyimbo mbalimbali za kuabudu na kusifu zikiendelea mitaa mbalimbali jijini mbeya mapemaa....
Hapa kila mtu akikimbia kadri alivyo jaaliwa kupiga hatua..
Mambo ya kukomboa walio potea yakiendelea mitaa mbalimbali.
"Kuokoka ni jukumu lako tubadilike, tumludie mungu wetu"
Kila mmoja akiwa mchangamfu kwa kuuimba na kusifu...
Mtaa wa maendeleo ulichanga mshwa kwa muda na shughuli zilisimama kwa mudaa..
Baada ya kumaliza mzunguko wao walilejea tena katika kanisa na kuendelea na mengineyo.
No comments:
Post a Comment