HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 15, 2015

TUJIKUMBUSHE ENZI HIZO

 Walimu wakielimisha wanakijiji wa tarafa ya Bundushi wilayani kahama mkoani Shinyanga mwaka 1971. hii ni elimu ya kipindi hicho enzi za Mwalimu.
 Picha ya Enzi za mwalimu wakati akilakiwa na wananchi wa China.
 Banda maalumu ambalo mwili wa hayati Baba wa Taufa Mwalimu J.K Nyerere uliwekwa kwa ajili ya wananchi kuuaga katika uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam October 1999.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad