Kamera ya mtaa kwa mtaa blog kama kawaida yake pindi inapo kuwa mtaani kuhakikisha hakuna kitu kinacho pita bila kunaswa ilizama mitaa ya mponzi na kunasa baadhi ya taswirazz kutoka kwa wadau fulani majina yao kapuni wakiwa wametoka safari na kuingia mtaani kama jinsi ambavyo waonekanavyo katika taswira hapo juu wao na mizigo yao huku wakidhadhiana jambo hapo..Picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
"sijui ndio hapa daa.. maana sijaja muda mrefu huku baba nanii,...kumebadilika sana..."
wakiendelea taratibu na misele hiyo huku wao wakiwa na mizigo yao...
No comments:
Post a Comment