Fundi vyuma leo alipokuwa katika kilingechake akifanya makeke yake ya kuchomelea moja ya kiungo cha geti la mteja kwa ujuzi alio jaaliwa kutukia vizuri kipaji chake kama aonekanavyo taswirani akiwa bize na makini kwenye suala afanyalo...picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
hapa fundi akiweka manjonjo ya kugeuza mkono wa mashine yake...
hapa fundi akiangalia kwa makini mjumuisho katika kiungo cha ua la geti hilo...
Ukiyajulia mambo haya wala hata hayasumbuii...
No comments:
Post a Comment