Foreni kubwa inayoendelea hivi sasa jijini mbeya kuanzia eneo la kabwe,Mwanjelwa mpaka mafiati inadhidi kukithiri jijini mbeya hususani majira ya Asubuhi mpaka jioni kwani watu wengi hushidwa kufanya shughuli mbalimbali kwa wakati kutokana na foreni hiyo ambayo kiukweli inahitaji ufumbuzi wa hali ya juu ambao baadhi ya mambo yanayo sababisha foreni hilo ni kama ukaribu wa vituo vya daradara, Ongezeko kubwa la vyombo vya usafiri jijini humo na mambo mengine yanayo jitokeza katika barabara hiyo ya Tunduma Kwenda Dar es salaam..Picha zote na Fadhiri Atick a.k.a (Mr.Pengo) grobu ya jamii Mbeya.
Boda boda wanajikuta wakiwa kwenye michepuko pembezoni mwa barabara kuepuka foreni hilo.
wengine wanajikuta wakiuma mguu kutafuta sehemiu za kuvuka kwende ng'ambo ya bara bara.
Shughuli zinashindwa kwenda kwa wakati jiji linazidi kukuwa kwa kasi kila mtu anataka kuwa na gari lake.
ukisema usubiri foreni iishe inakula kwako kama tuu haujui kujichomeka.
eneo la mwanjelwa napo hali ni tete..
ukaribu wa vituo vya daladala eneo hilo nalo ni chanzo cha foreni hilo...
Hapa ni mwendo wa kufuata utaratibu tuu hakuna cha nani wala nani yani duu!!
No comments:
Post a Comment