HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 17, 2013

Bendi ya Mapacha Watatu yazidi kukimbiza hapa nchini

 Muimbaji Mahiri wa Muziki wa Dansi hapa nchini,Khaleed Chokoraa ambaye pia ni Mmoja Viongozi wa bendi ya Mapacha Watatu akiimba kwa hisia kali moja ya nyimbo za Bendi yake wakati wa show yao iliyofanika kwenye Ukumbi wa Face Pub,Tabata Bima jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bendi hii ambayo ni ya vijana wachakarikaji na wenye kuujua muziki imekuwa ikifanya vizuri kila siku,hali inayopelekea watu wengi kuipenda.
 Muimbaji Mahiri wa Muziki wa Dansi na Mwenye sauti ya pekee,Jose Mara wa Kimara akifanya mambo yake ya kucheza na sauti katika moja ya nyimbo za Bendi yake wakati wa show yao iliyofanika kwenye Ukumbi wa Face Pub,Tabata Bima jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Khaleed Chokoraa akiongoza safu ya Madansa wa bendi yake ili kuendeleza kukonga nyoyo za mashabiki wao waliokuwepo ndani ya Ukumbi huo.
 Mvuka ukipanda watu hujirusha juu namna hii.
 Jose Mara nae yuko fiti katika sekta hiii.
Mmoja wa waimbaji wa Bendi ya Mapacha Watatu akienda Sambamba na Dansa wa bendi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad