Katika katiza katiza zangu Mitaani,mara nikapita njia hii ambayo niliipita Mchana na kukuta Mti huu ambao haukuwepo nilipopita mara ya kwanza.hapo ndipo nilipopatwa na mshangao wa kuona mti ukiwa umeota ghafla na kutoa na Maua kabisa,hafafu ni katikati ya njia ipitayo magari.
Monday, June 17, 2013

Home
Unlabelled
HEEE.....!!!! HUU MTI MBONA UMEOTA GHAFLA NAMNA HII???
HEEE.....!!!! HUU MTI MBONA UMEOTA GHAFLA NAMNA HII???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment