Leo nimekatiza katika moja ya Mitaa ya Upanga jijini Dar nikiwa katika kazi yangu ya kuhakikisha libeneke na Mtaa kwa Mtaa halilali njaa na kukutana na taswirazz hii ya nguzo ya umeme iliopo katikati ya njia.hapo ndipo swali langu hilo lililoanzia kwani mtaa huo umeshapigwa na lami kabisa.eti kwa hili nani ambaye ni mchokozi na kamkuta mwenzie???
No comments:
Post a Comment