HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 4, 2013

BARCLAYS TANZANIA YATOA SHS. 61 MILLIONI KWA BAYLOR TANZANIA KUSAIDIA VIJANA WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI (HIV/AIDS)

Mkuu wa mawasiliano na Huduma za jamii wa Barclays Tanzania,Tunu Kavishe (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya sh. Mil 61 kwa Mkurugenzi wa mradi kutoka Chuo cha Utabibu cha Baylor ambae hufanya kazi pamoja na vijana,Dk. Lumumba Mwita kusaidia klabu ya Baylor Tanzania iliyoundwa kwa vijana wa umri wa kati wanaoiishi na virusi vya ukimwi na sehemu ya Chuo cha Utabibu cha Baylor cha Mfuko wa Watoto Tanzania (Baylor-Tanzania), asasi hiyo isiyo ya kiserikali, iliyosajiliwa chini ya muungano kati ya serikali ya Tanzania, USAID na Chuo cha Utabibu cha Baylor.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad