HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 20, 2012

TANZANIA MITINDO HOUSE YATUA JIJINI PARIS KWA ONYESHO LA STYLE MOTO MOTO

MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE,KHADIJA MWANAMBOKA (KUSHOTO) NA MMOJA WA WABUNIFU WA TMH,ZAMDA GEORGE (KULIA) WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MWENYEJI WAO,BALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA,MHE BEGUM TAJ MARA BAADA YA KUWASILI NCHINI HUMO.WABUNIFU HAO WAPO NCHINI UFARANSA KWA AJILI YA ONYESHO LA MAVAZI - STYLE MOTO MOTO LITAKALOFANYIKA KATIKA HOTEL YA ACADEMIE DIPLOMATIQUE INTERNATIONALE AVENUE HOCHE PARIS MEI 23,2012.
WABUNIFU WAKIPOZI NA WADAU WATAKAO KUWAMODEL KATIKA ONYESHO LA MAVAZI - STYLE MOTO MOTO IN PARIS ALHAMIS 23/5/2012 KATIKA HOTEL YA ACADEMIE DIPLOMATIQUE INTERNATIONALE AVENUE HOCHE PARIS

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad