HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 22, 2012

Mazishi ya Brigedia Jenerali Mstaafu,Adam Mwakanjuki visiwani Zanzibar leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akisaini kitabu cha maombolezo huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akitoa heshima baada ya kusaini  kitabu cha maombolezo  katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akisaini kitabu cha maombolezo huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akisaini kitabu cha maombolezo cha Marehem Brigedia Jenerali Mwakanjuki huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akitoa heshima zake kwa Marehem Brigedia Jenerali Mwakanjuki huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
  Mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume akisaini kitabu cha maombolezo cha Marehem Brigedia Jenerali Mwakanjuki huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
 Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Shadya Karume akisaini kitabu cha maombolezo cha Marehem Brigedia Jenerali Mwakanjuki huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa zamani Kikwajuni ambako mwili huo ulipoagwa.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume na Mke wake Shadya wakiuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mwakanjuki huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo ulipoagwa.
 Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein kiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo.
Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka mchanga katika kaburi la Brigedia General Mstaafu, Adam Mwakanjuki, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo
 Mke wa Marehemu Brigedia General mstaafu, Adam Mwakanjuki, Bi. Ikupa Mwakanjuki, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mumuwe, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo.
 Wanafamilia wa Marehemu Brigedia Jenerali  Adam Mwakanjuki wakiwa na huzuni baada ya kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo huko katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar
 Wanajeshi wa JWTZ  wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Adam Mwakanjuki mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar kutokea Dar es Salaam kwa ajili ya mazishi

 Mke wa marehemu Brigedia Jenerali Mwakanjuki Ikupa Abel Mwasongwe (kati) akiwa pamoja na Familia yake  katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani ambako mwili huo unapoagwa.PICHA ZOTE NA Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad