HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 22, 2012

Kero ya njia maeneo ya Tabata Mawenzi

 Kama gari lako ni lakisharobaro,basi jua kabisa njia hii haikufai maana ni mbovu ajabu ya Mungu,kana kwamba hakuna watendaji.yaani imekuwa ni kero kubwa sana kwa wakazi wa eneo hili la Mtaa wa Amani karibu kabisa na ilipo Nyumba ya Mganga maarufu,Dk. Manyau Nyau,Tabata Mawenzi,jijini Dar.
 Wakazi wa eneo hili poa wanapata shida ya maji hivyo ninawalazimu kwenda mbali kutafuta maji au kununua kwa jamaa wanauza kwenye matolori kama aonekanavyo jamaa anaeibukia juu kule.
Kutokana na ubovu wa njia hiyo,hata hawa jamaa wanapata shida kupita hivyo na wao wanakuja kulipizia kwenye kuuza hayo maji ambayo huyauza kwa bei ya juu sana.
 kitu cha topeee.....
 Hili ndio daraja ambalo linatumika kuvusha magari ya wakazi wa maeneo haya ambalo nalo kama siku ikinyesha mvua kubwa,basi jua ni mtafutano maana hata  halionekanagi.
 mtaro wa maji.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad