HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 22, 2012

Yanga yaitungua Polisi Dodoma bao 3-1 taifa leo

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akiruka daruga la kiungo wa Polisi Dodoma, Idd Ramadhani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad