HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 8, 2012

Kamwe Sitoacha Kukukumbuka Steven Kanumba

Kila nikikaa siachi kumkumbuka Swahiba wetu Steven Kanumba,kamwe Sitosahau kicheko chake, matani yake, ushauri wake pamoja na nia yake aliyokuwa akiniambia kila mara tukutanapo ingawa mara nyingi akikuwa akiichukulia katika hali ya utani ya kwamba uchaguzi wa mwaka 2015 angegombea Ubunge kwenye Jimbo la nyumbani kwao alipozaliwa huku akisema anataka kuonyesha mabadiriko ndani ya nchi yetu hii Tukufu!kamwe sitokusahau Marehemu Steven Kanumba.Kulia ni Mdau Christopher Makwaia siku tulipokutana na Kanumba maeneo ya Magomeni Mapipa ambapo alitutafuta ili tuweze kumpatia mambo mawili matatu kuhusiana na maswala ya Kublogu.

Mungu akuweke mahali pema peponi Swahiba Steven Kanumba.

-Amin.

1 comment:

  1. kaptula aliyovaa kanumba ndio aliyovaa siku ya kifo chake if you didn't notice!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad