Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao wa kugombea ngao ya pasaka iliyotolewa na ukumbi wa Dar LIve. Maneno alishinda kwa pointi
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke, Afande Thomas Sedoyeka na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka. Bondia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla kwa pointi Dar es salaam jana.
No comments:
Post a Comment