Magari mengi yanayobeba taka taka jijini Dar ni mabovu sana kiasi kwamba huwa yanakufa na kuharibika kila wakati na mara nyingi ni barabarani ambapo mara nyingi huwa inaleta usumbufu kwa magari mengine yaatumiayo barabara hizo.hapa ni maeneo ya Kinondoni Mkwajuni,Jijini Dar mchana wa leo
Monday, April 9, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment