HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 16, 2012

kamera yetu mtaani leo

 Mpaka ale vichwa na  nawengine mruhusiwe kupita.
 sikuhizi makopo ya maji si uchafu,bali ni biashara kama waonekavyo jamaa hawa wakipakia.
 wabeba taka wakiwa kwenye pozi baada ya kazi.
 Sasa sijui huyu mwenye hii Canter kwaanini kasimama hapa?
 mtaa wa swahili kariakoo.
 ukiingia na gari yako katikati ya soko la kariakoo basi jua kabisa kuna hati hati ya kupigana pasi.
 kila mmoja yuko bize kwa kupanga biashara yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad