Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Mohamed Gharib Bilal (kushoto) akisalimiana na wafanyakazi wa BancABC ya Arusha wakati wa ufunguzi wa tawi jipya jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Mwenyekiti wa Bodi wa BancABC ya jijini Arusha, Dkt. Jonas Kipokola, wakifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua rasmi leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Mwenyekiti wa Bodi wa BancABC ya jijini Arusha, Dkt. Jonas Kipokola, wakifurahia baada ya kuzindua rasmi na kuweka Jiwe la Msingi katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua rasmi leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa BancABC Tawi la Arusha, Anna Kavishe, kuhusu utendaji wa kazi na ramani ya jengo jipya la benki hiyo, baada ya kuizindua rasmi leo, jijini Arusha. Wapili (kulia) ni Mke wa Makamu Mama Zakhia Bilal na Kulia kwa Makamu ni Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Jonas Kipokola.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wakati alipokuwa akizindua rasmi jengo la BancABC jijini Arusha leo.
Meneja wa Tawi jipya la BancABC mjini Arusha akizungumza na wateja mara baada ya ufunguzi wa Tawil hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Mohamed Gharib Bilal.
Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Uwasa wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa Tawi jipya la BancABC jijini Arusha lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Mohamed Gharib Bilal.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa benki hiyo.
No comments:
Post a Comment