Pamoja na kwamba kifaa maalumu cha kuhifadhia taka kipo hapa,lakini bado taka zinaonekana kuzagaa kwa wingi katika eneo hili la Keko Bora.hivi kwa hali hii ile kampeni ya kulitaka jiji letu kuwa safi,itafanikiwa??
Monday, March 5, 2012

Home
Unlabelled
Kwa Mpango Huu,Jiji letu litafanikiwa kuwa safi?
Kwa Mpango Huu,Jiji letu litafanikiwa kuwa safi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment