Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) akijumuika na waislamu wengine katika kumswalia Marehemu Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Yakuti Hassan Yakuti,(wa pili kushoto) swala hiyo iliyoongozwa na Naibu kadhi Mkuu wa Zanzibar,Sheikh Hassan Othman Ngwali,katika Msikiti wa Ijumaa wa Melitano Fuoni Wilaya ya Magharibi Unguja leo.Picha na Ramadhan Othman IKULU.
Monday, March 5, 2012

Home
Unlabelled
Dkt. Shein ashiriki Ibada ya kumswalia Marehemu Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar leo
Dkt. Shein ashiriki Ibada ya kumswalia Marehemu Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment