HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 5, 2012

Hizi Chem Chem katikati ya jiji sasa tumezichokaaaaa....

 Haya maji yanayoonekana kwenye barabara hii ni maji machafu yanayotoka kwenye chemba iliyojaa kwa kipindi kirefu sasa na kufanya maji hayo kuja mpaka barabarani huku yakiwa na harufu kali sana na yenye kukereketa.hapa ni kwenye makutano ya Mtaa wa Aggrey na Jamhuri (Kitumbini) jijini Dar es Salaam.kiukweli maji haya yamekuwa ni kero kubwa kwa watumiaji wa njia hiyo pia hata wakazi wa eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad