HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 27, 2012

NETI ZA MALERIA NO MOOO.......!!!ZINAVYOKULA MZIGO

Tangu ianzishwe kampeni ya kupiga vita ugonjwa wa Malaria nchini kwa kizungu wanasema (Malaria No More),kumezuma matumizi mbali mbali ya net (nyavu) za kuzuia mbu wanaosambaza ugonjwa wa Malaria.kwani kuna sehemu zingine wanatumia net hizi kuvulia samaki,kuzungushia bustani ili isiharibie na ndege,wengine kufanya pazia na sisi huku mtaani kwetu tumeamua kuzitumia net hizo kuweka kwenye magoli ya kiwanjani kwetu ili tusiwe tunabishana pindi magoli yanapofungwa.maana huku kwetu ni wabishi kama nini vileeee.........

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad