HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 27, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATAWAZWA KUWA MZEE WA KABILA LA WANYAKYUSA JIJINI MBEYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Mkuki na Vazi rasmi la heshima la Kabila la Wanyakyusa, baada ya kukabidhiwa wadhifa huo na wazee wa Kabila la Wanyakyusa wa Kijiji cha Mbambo Wilaya ya Rungwe, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea  Mkuki kutoka kwa mwakilishi wa Wazee wa Kabila la Wanyakyusa wa Kijiji cha Mbambo Wilaya ya Rungwe, Ambakisye Mwakatobe, ikiwa ni ishara ya kumkabidhi wadhfa wa kuwa Mzee wa Kabila la Wanyakyusa, wakati alipofika katika Kijiji hicho kuwahutubia akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 26, 2012. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal. 
 Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mtaro wa kupitishia maji ya umwagiliaji katika Kilimo mradi uliopo katika Kijiji cha Kisegese, wakati akiwa katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Mkoa wa Mbeya
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi katika chanzo cha mradi wa maji ya umwagiliaji katika Kijijji cha Kisegese, Wilaya ya Rungwe mtaro wenye urefu wa Kilomita 7, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbey
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, wakiangalia Mpunga katika eneo la Shamba Darasa, lililopo Kijiji cha Kisegese Wilaya ya Rungwe.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad