HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 15, 2012

Dkt. Shein akutana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) Ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed shein,akiagana na Dr. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni,nchini Tanzania,(kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed shein,akisalimiana na Dr. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni,nchini Tanzania,(kulia) na Dr.Pierre Kahozi-Sangwa WHO Zanzibar (katikati) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed shein,akizungumza na Dr. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni,nchini Tanzania,(kushoto) na Waziri wa Afya Juma Duni Haji,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed shein,akifuatana na Dr. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni,nchini Tanzania,(kushoto) na Waziri wa Afya Juma Duni Haji,(kulia) baada ya mazungumzo yao Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad