Kiongozi wa Bendi ya Akudo Impact,Tarsis Masela (katikati) akiongea wakati wa kuwatambulisha wanamuziki wanne wapya wa bendi hiyo kutoka nchini Congo Kinshasa leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mmoja wa waimbaji wa Bendi hiyo,Cannal Top na kushoto ni Mmoja wa waimbaji wapya wa bendi hiyo waliotambulishwa leo,Meree Yamba-kita.
Waimbaji wapya wa Bendi ya Akudo Impact wakiwa na kiongozi wao wakiimba moja ya nyimbo za bendi hiyo leo mara baada ya kutambulishwa rasmi.
No comments:
Post a Comment