Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na watendaji hao katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za
utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo leo.
Watendaji wa Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment